Kassim Majaliwa apita kwa 73.5 % kuwa waziri mkuu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Mh. Kassim Majaliwa Mbunge wa jimbo la Ruangwa kuwa Waziri mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Read more about Kassim Majaliwa apita kwa 73.5 % kuwa waziri mkuu.