Kibaden afafanua uundwaji wa kikosi cha Chalenji

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania bara The Kilimanjaro Stars Abdallah Kibaden mputa amefafanua sababu ya kuteua wachezaji waliokuwa katika timu ya taifa iliyokuwa ikicheza mechi za kimataifa za kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2018 nchini urusi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS