Ujio wa Jolie Kenya nyota wa filamu wa kimataifa, Angelina Jolie Ujio wa nyota wa filamu wa kimataifa, Angelina Jolie nchini Kenya, huenda ukawa umekaribia tayari kabisa kwa kufanya kazi ya kuongoza filamu ya 'Africa' itakayohusu maisha ya mdau mkubwa wa uhifadhi wa maliasili, Richard Leakey. Read more about Ujio wa Jolie Kenya