UKIMWI umeongeza vifo vingi kwa vijana- UNICEF Idadi ya vifo vya vijana kutokana na UKIMWI imeongezeka mara tatu zaidi kwa miaka 15 iliyopita, ingawa kuna nguvu kubwa ya kuzuia maambukizi kwenye nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara. Read more about UKIMWI umeongeza vifo vingi kwa vijana- UNICEF