Japan yaahidi kushirikiana na Tanzania kimaendeleo
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida Ikulu jijini Dar es salaam, ambapo Balozi huyo amempongeza Dkt. Magufuli kwa kuchaguliwa kuingoza Tanzania katika awamu ya tano.