Pallaso amsaini Full Figure
Nyota wa muziki wa nchini Uganda Pallaso ametangaza kumsaini msanii Full Figure ambaye alirudishwa kilazima Uganda kutoka huko nchini Sweeden, katika lebo yake ya Team Good Music, taarifa ambazo amezitoa katika onyesho lake hapo jana huko Mityana Uga