Katibu Mkuu TAMISEMI awashtukiza watendaji Dodoma
Katibu Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Jumanne Sagini amefanya ziara ya kushtukiza katika manispaa ya Dodoma kwa lengo la kujionea utendaji za umma zinavyoendeshwa na kutoridhishwa na kazi za watendaji katika idara zao.