Serikali kuipiga faini benki ya Stanbic
Waziri wa Fedha nchini Dkt. Philip Mpango amesema tayari Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeandikia barua benki ya Stanbic ya kusudio la kuitoza faini ya shilingi bilioni 3, baada kugundua matatizo yaliyohusiana na hasara itokanayo na mikopo katika benk

