Watanzania watakiwa kuchukua tahadhari ya Zika

Mganga mkuu wa serikali ya Tanzania Mohamed Bakari ametoa wito kwa watanzania wote kuchukua tahadhari za kuthibiti na kujikinga na mazalia ya mbu hasa kwa kipindi hiki cha masika ili kujikinga na ugonjwa wa zika ugonjwa ambao unaenezwa na mbu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS