BMT yaziunganisha TGU na TLGU Baada ya kuwa na mzozo wa muda mrefu juu ya uchaguzi wa Chama cha Gofu Wanawake TLGU Baraza la Michezo la Taifa BMT limekivunja chama hicho na kukiunganisha na Chama cha Gofu Tanzania (TGU). Read more about BMT yaziunganisha TGU na TLGU