CCM hatukupenda uchaguzi wa Z'bar ufutwe - Kikwete
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza rasmi kuachia kiti hicho kabla ya mwezi Februari mwakani, huku akisema CCM imesikitishwa na uamuzi wa ZEC kufuta uchaguzi wa Zanzibar.
