Serikali yaagiza makampuni ya mafuta kulipa madeni
Serikali imeyataka makampuni yanayoagiza na kuingiza nchini mafuta ya petroli, kulipa deni ambalo kampuni hizo zinadaiwa na serikali vinginevyo serikali itasitisha huduma za makampuni hayo mara moja.

