Watumishi wa Tamisemi Tanga wapewa viapo vya utii. Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwamtumu Mahiza amewapa viapo vya utii watumishi wa serikali TAMISEMI kwaajili ya kufanya kazi kwa uadilifu ili kuweza kuboresha elimu katika mkoa wa Tanga. Read more about Watumishi wa Tamisemi Tanga wapewa viapo vya utii.