Haye apania kumtwanga De Mori Jumamosi hii Bingwa wa zamani ngumi duniani Muingereza David Haye, ameahidi kurejesha heshima yake katika mchezo huo duniani kwa kumtwanga Mark De Mori siku ya Jumamosi wiki hii. Read more about Haye apania kumtwanga De Mori Jumamosi hii