Burundi isimamishwe uanachama wa EAC - Wadau
Asasi za kijamii na Taasisi za nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha maombi yao kwa Bunge la Afrika Mashariki na kupendekeza kusimamishwa uanachama nchi ya Burundi, ili kuilazimisha kushiriki mazungumzo ya Amani.