Kenya yashindwa kutimiza masharti ya riadha

Mashabiki wa mchezo wa riadha nchini Kenya wakionyesha mabango ya kupinga urasimu kwenye mchezo huo nchini mwao.

Kenya imeshindwa kuufikia muda wa masharti yaliowekwa kwa taifa hilo kudhihirishia dunia kwamba inakabiliana na udanganyifu katika riadha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS