BASATA yanena kuhusu ngoma ya Ney

Mh Godfrey Mngereza

Kutokana na mkanganyiko mtaani kuhusiana na hatua na maamuzi ya BASATA dhidi ya ngoma ya kuponda wasanii iliyofanywa na msanii Ney wa Mitego, Shika Adabu yako, BASATA imeliacha suala hilo kwa vyombo vya habari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS