Vigogo 11 TRL wafikishwa mahakamani TAKUKURU yawafikisha mahakamani viongozi 11 wa shirika la Reli Tanzania TRL ,kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. Read more about Vigogo 11 TRL wafikishwa mahakamani