Yanga yaanika kikosi kwa Cercle de Joachim SC leo Kikosi cha Yanga leo kinatarajia kushuka ugenini dimba la Geoge V nchini Mauritius kukipiga na Cercle de Joachim SC katika mchezo wa ligi ya klabu bingwa Afrika hatua ya awali. Read more about Yanga yaanika kikosi kwa Cercle de Joachim SC leo