Simba yahama Zanzibar, yaiwinda Yanga Morogoro

Klabu ya Simba SC inatarajiwa kwenda Morogoro hapo kesho kuweka kambi kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao Yanga SC utakaofanyika Jumamosi ijayo uwanja wa Taifa, Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS