Hakuna wa kufanana na Ngwea bongo - TID.

Msanii TID amesema mpaka sasa kwenye maisha yake ya muziki hajawahi kuona msanii ambaye atachukua kiti cha aliyekuwa mkali wa 'free style' bongo, Albert Mangwea, aliyefariki miaka mitatu iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS