Aje ilikuwa suprise kwa Wema Sepetu - Alikiba Msanii Alikiba ametoa siri ambayo wengi walikuwa hawaijui kuhusu wimbo wake wa Aje, baada ya minong'ono mingi kuwa kamuimbia mlimbwende Jokate Mwegelo, ambaye habari zinasema alikuwa mwandani wake. Read more about Aje ilikuwa suprise kwa Wema Sepetu - Alikiba