Hatima ya Samatta Uropa Ligi kujulikana kesho

Mshambuliji Mbwana Samatta akiwajibika katika mchezo dhidi ya Sporting Charleroi.

Hatima ya mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayekipiga Genk ya Ubelgiji kucheza kwa mara ya kwanza michuano ya kombe la Ulaya Europa Ligi itajulikana kesho wakati miamba hiyo ikiwa nyumbani kusaka magoli 3 ama zaidi mbele ya Sporting Charleroi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS