Serikali Kuimarisha Zahanati jijini Dar es Salaam
Serikali ya Tanzania imetangaza kuanza kuimarisha Zahanati pamoja na hospitali za Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam ili kutoa huduma stahiki kwa wagonjwa ikiwa ni pamoja na wanawake wanaokwenda kujifungua.