Tanzania yasaidiwa kuhudumia wakimbizi wa burundi
Jumuiya ya Ulaya EU imetoa kiasi cha paundi milioni 10 kwa serikali ya Tanzania kwa ajili ya kutoa msaada wa kibinadamu kwa wakimbizi wa burundi waliokimbilia nchini kwao kuepuka machafuko yanayoendelea nchini mwao.