Kikapu Taifa sasa Septemba Mmarekani kushuhudia.
Kuingiliana kwa ratiba ya michuano ya kimataifa ya Majeshi kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati na pia ratiba ya ujio wa kocha mpya wa timu ya Taifa ya kikapu kumepelekea kuahirishwa kwa michuano ya mpira wa kikapu taifa iliyokuwa ifanyike Julai.