Kinondoni kuandaa maonesho ya wajasiriamali. Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeandaa maonesho kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wadogo wanaonufaika na mikopo ya mfuko wa wanawake na vijana inayotolewa na Manispaa ya Kinondoni . Read more about Kinondoni kuandaa maonesho ya wajasiriamali.