Mabenki ya ungane kupeleka huduma vijijini
Taasisi za kifedha hususan mabenki yametakiwa kuboresha na kuunganisha mitambo yao ya huduma za kifedha maeneo ya vijijini ili kuwafikia wale ambao hawana huduma hiyo kwani sekta ya kibenki ni muhimu katika kuchochea ukuaji wa sekta zingine.

