Yanga waanza kushikana uchawi/ TFF kutoa tamko lao
Wakati Uongozi wa Yanga ukianza kusaka na kukamata baadhi ya wanachama wanaowahisi kutaka kufanya hujuma ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo na huku tayari baadhi yao wakiadhibiwa kutokana na tuhuma hizo, TFF wao watatoa tamko lao Juni 8 mwaka huu.