Msijihusishe na siasa vyuoni-Dkt. Magufuli
Rais Dkt.John Magufuli pia amewataka wanafunzi wa vyuo nchini kuacha kujihusisha na masuala ya siasa na badala yake wazingatie jukumu kuu lililowapeleka vyuoni huku akibainisha kuwa serikali haitavumilia vitendo vya vurugu vyuoni.