Jose Mourinho ataka ubingwa wa EPL Kocha Jose Mourinho amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu atue Manchester United na kusema kuwa klabu hiyo imekuwa ikichechemea tangu astaafu kocha Sir Alex Ferguson. Read more about Jose Mourinho ataka ubingwa wa EPL