Sijawekwa ndani na jimama - M-rap M-rap M-rap amemalizia kwa kusema watu wanao msema kuwa geto lake analokaa sinza amepangishiwa na mwanadada wake huyo sio kweli kwa kuwa geto hilo kapangisha kwa pesa yake mwenyewe ambayo anaipata akifanya show. Read more about Sijawekwa ndani na jimama - M-rap