Hans Pluijm

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm, amekiri kuwa matokeo mabaya wanayopata yanawakatisha tamaa mashabiki hivyo amepanga kurejesha imani na furaha iliyopotea kwa mashabiki wao kwa kuhakikisha wanawafunga MO Bejaia katika mchezo wa marudiano jijini DSM.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS