Mtuhumiwa wa kumuweka rehani Nduguye Kizimbani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam imempandisha kizimbani Mtuhumiwa Juma Abdallah Mwinyi aliyehusika kumuweka rehani ndugu yake nchini Pakistani ,na kusomewa shitaka la kufanya Biashara Haramu ya kusafirisha Binadamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS