Upelelezi kuwekwa maeneo ya uwekezaji.
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi mheshimiwa Mwigulu Nchemba amesema wamezungumza na wizara ya kazi,vijana na ajira nchini kuangalia namna itakavyoweka upelelezi wakukagua shughuli za ambazo zinafanywa na wawekezaji ambao wanakiuka haki za binadamu.

