Abramovich Kumpa Conte jeuri ya kuimarisha ulinzi
Bilionea wa Urusi, Roman Abramovich, amesema atatoa fedha za kutosha kwa Antonio Conte, kufanya usajili wa safu ya ulinzi ya Chelsea ambayo imeonekana ni uchochoro katika mechi mbili zilizopita za ligi kuu ya soka nchini Uingereza.