BASATA yahamasisha wasanii kushiriki EATV AWARDS

Mkuu wa matukio BASATA Kurwijira N. Maregesi

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kupitia mkuu wake wa matukio Kurwijira N. Maregesi , wametoa msisitizo kwa wasanii kujisaji kwenye baraza hilo, ili waweze kushiriki EATV AWARDS.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS