TCAA yapewa siku mbili kujieleza kuhusu Zanzibar
Naibu Waziri Muungano na Mazingira Luhaga Mpina ametoa siku mbili kwa uongozi mkuu wa mamlaka ya anga nchini, TCAA, kutoa taarifa kamili za uendeshaji wa shughuli za anga katika visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na makusanyo yanayoingia serikalini.