Abby Skills awashukuru Alikiba na Mr. Blue

Kutoka kulia ni Ali Kiba, wa kati ni Abby Skills na wa misho ni Mr. Blue

Msanii wa Bongo Fleva Abby Skills amesema anawashukuru sana wasanii Ali Kiba pamoja na Mr. Blue kwa kumrejesha kwenye game la muziki baada ya kupotea kwa miaka minne mfulilizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS