Wasanii Bongo umoja wetu ni wa misibani tu: Mtanga Muigizaji wa kundi la Zecomedy la EATV, Mtanga amesema wasanii nchini hawana umoja kama watu wanavyodhani ila umoja huonekana pindi kukiwa na tatizo la msiba ndipo wasanii hukutana kwa umoja. Read more about Wasanii Bongo umoja wetu ni wa misibani tu: Mtanga