Kipa namba moja wa Mtibwa aendelea na mazoezi

Kipa namba moja wa timu ya Mtibwa Sugar Said Mohammed Nduda

Kipa namba moja wa timu ya Mtibwa Sugar Said Mohammed Nduda amepona na sasa anapambana kurejea uwanjani kwa ajili ya kuendelea na michuano ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS