Serikali kuanzisha tuzo za uandishi katika blogs Wazir Nape Nnauye akizungumza na Tanzania Bloggers Network (TBN) Serikali inatarajia kuanzisha tuzo za umahiri kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii (blogs) nchini kuanzia mwaka 2017. Read more about Serikali kuanzisha tuzo za uandishi katika blogs