Dunia yakumbwa na joto kali zaidi katika miaka 5
Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO , limechapisha ripoti ya uchambuzi wa kina wa hali ya hewa kimataifa kwa mwaka 2011 -2015 , ikiwa ni miaka mitano iliyokuwa na joto kali katika historia.