Wagonjwa wa upasuaji kupata kupata suluhu Njombe
Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Njombe wanatarajia kutatua tatizo la upasuaji kwa mama wajawazito na upasuaji mwingine wa wagonjwa baada ya halmashauri hiyo kuanza kujenga chumba cha upasuaji katika kituo cha afya cha Lupembe.