Tabora yaongoza kwa wanafunzi hewa 6,985 George Simbachawene - wazir wa TAMISEMI Serikali imefanikiwa kuokoa Sh. 931,317,500 baada ya kushitukia kuwapo kwa wanafunzi ‘hewa’ katika shule za msingi na sekondari nchini katika mwaka wa fedha 2016/17. Read more about Tabora yaongoza kwa wanafunzi hewa 6,985