Makampuni ya Kuwait yachangia mil. 71 za tetemeko

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea mfano wa hundi kutoka kwa balozi wa Kuwait

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea msaada wa Dola za Marekani 33,000 (sawa na sh. milioni 71) kutoka kwa makampuni ya Kuwait ili ziwasaidie wananchi walioathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera, hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS