Uganda 'The Cranes' kupiga kambi Tunisia na Dubai
Timu ya Taifa ya Uganda Cranes inatarajiwa kupiga kambi katika nchi za Tunisia na mji wa Dubai, katika Falme za Kiarabu (UAE) ikiwa ni maandalizi ya fainali za Mataifa ya Afrika AFCON 2017 nchini Gabon.