Wakuu wa wanahabari wahukumiwa kifungo Misri

Yahia Kallash, kiongozi wa chama cha waandishi wa habari nchini Misri

Kiongozi wa chama cha waandishi wa habari nchini Misri, na wakuu wengine wawili, wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili, kwa kuwapa hifadhi wenzao waliokuwa wakisakwa na polisi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS