Wananchi vijijini watakiwa kutumia fursa ya umeme
Serikali imewataka wananchi vijijini kutumia fursa ya upatikanaji wa umeme kujiendeleza katika uchumi na kijamii kuwekeza kwenye miradi mbalimbali inayohitaji umeme huku ikiwahimiza wananchi kuunganisha umeme majumbani ili kuharakisha maendeleo