Mgogoro wa ardhi Chasimba umemalizika - Mabula

Angelina Mabula

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula amesema mgogoro wa ardhi wa eneo la Chasimba Wazo Hill Jijini Dar es Salaam umemalizika na kinachoendelea kwa sasa ni hatua za urasimishaji ardhi kwa wakazi wa eneo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS